Subscribe or Download. Download All Lessons of Ordinary Level Geography Senior Four UShs 10,000 DOWNLOAD ALL LESSONS OF PRIMARY TWO GRAMMAR UShs 10,000 Download all lessons of Primary Six UShs 30,000 Download All Pre-Primary Lessons UShs 70,000 UShs 30,000 Download ADVANCED LEVEL EUROPEAN HISTORY UShs 30,000, 2/17/2021 · WAHILI GRAMMER LESSON ***** SARUFI3).M-MI noun class [ Ngeli ya M-MI] {U-I}This noun class has the following nouns: a). Majina ya miti na mimea (…
About Press Copyright Contact us Creators Advertise Developers Terms Privacy Policy & Safety How YouTube works Test new features Press Copyright Contact us Creators …
Ngeli ya U – I – Ngeli hii hujumuisha nomino za vitu visivyo na roho ambazo umoja huchukua viambishi m na wingi huchukua viambishi mi k.m mti miti, mto mito, mlima milima, mguu miguu, mtetemeko mitetemeko. n.k.
When using a verb, this noun class uses LI-in singular and YA -in plural for sentence formation. Sentence Formation Mifano: 1. Chungwa limenunuliwa. [The orange has been bought.] Machungwa yamenunuliwa. [The oranges have been bought.] 2. Gari limefika. [The car has arrived.] Magari yamefika. [The cars have arrived.] 3. Jicho linauma. [The eye …
Kwa kuunganisha viambishi KI na VI tunapata ngeli ya KI-VI. Ni vyema kuelewa kuwa tumezingatia viambishi wala si sarufi. mfano 2: Mti umeanguka – Miti imeanguka. Ngeli inayoundwa ni ngeli ya U-I Aina za Ngeli A-WA Ngeli hii huchukua nomino na viumbe wenye uhai. Kama vile binadamu, wanyama na kadhalika.
6/12/2020 · Ngeli ya I-ZI. Hii ni ngeli ya nomino ambazo huwa katika hali ya umoja. Kiambishi cha umoja-i. Kiambishi cha wingi-zi. Mfano. Ngozi hiyo inavutia. Ngozi hizo zinavutia. Ngeli hiyo inaeleweka. Ngeli hizo zinaeleweka. Ngeli ya LI-YA. Kiambishi cha umoja-li. Kiambishi cha wingi-ya. Mfano. Gari limenunuliwa. Magari yamenunuliwa. Muindo ya nomino. G-M. Gari-magari. JI.
Ngeli ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Katika mfumo wa kisasa (na unaokubalika), ngeli huundwa kwa kuunganisha viambishi viwakilishi vya nomino.. Kwa mfano, neno kitabu.Tunasema, Kitabu kimepotea – Vitabu vimepotea. Kwa kuunganisha kiambishi KI(umoja) na VI(wingi), tunapata ngeli ya KI-VI.
example word mtu. watu . mti. miti. duka. maduka. kitu. vitu . nyumba. nyumba . verb subject prefix duka linafungua the shop opens . ni-u-a-tu-m(w) wa-u-i-li- ya -ki-vi-i-zi-verb subject prefix (negative) the shop doesnt open duka halifungui. si-hu-ha-hatu-ham(w)-hawa-hau-hai-hali-haya-haki-havi-hai-hazi-verb object infix I hit the chair …
– Ngeli hii inajumuisha nomino za vitu visivyo na uhai. Ngeli hii ina makundi matano ya nomino. i. Nomino ambazo umoja huanza kwa u na wingi tunaondoa u k.m. unywele …